ocr: Mchezo rahis1 Tazama kadi na usikilize. Huyo bwana atarudia neno au kifungu cha Ilaneno. Mbonyeze ili umsikie tena. Sasa chagua kadi inayokwenda na neno - au kifungu cha maneno. Utapata pointi moja kwa jibu sawa, na ukikosea utapoteza pointi moja.